Friday, December 12, 2008

KARIBUNI VIJANA TUJUMUIKE KIMAWAZO NA MATENDO MEMA YENYE UBUNIFU.

Hii ni sehemu mpya kwa vijana wenye malengo mapya ya kibunifu.

3 comments:

Anonymous said...

Tafadhali jichokwavijana (JKV) numefurahi kuona site yenu, tena ikiwa imechanganywa lugha mbili sasa tuna hitaji kuona mengi kutoka kwenu..big up JKV TANZANIA

/mwanza art works

Daan said...

Lengo la utafiti halitafikiwa ikiwa matokeo ya utafiti huo hayatawekwa bayana na kueleweka na jamii husika.
Imetumwa na ECC JKV Patner, Arusha

Said Michael said...

Kweli jicho kwa vijana nimeona jinsi mnavyo Tazama Mbali Zaidi {TAMBAZA}katika ubunifu. Endeleeni kukaza buti, tupo pamoja.